Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Investment Proposal for One-Third Stake in Liverpool FC by Jeff Bezos and Investor Group

Latest Tanzania sports news · Investment Proposal for One-Third Stake in Liverpool FC… explained · updated Aug 13, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Iwapo dili hilo litakamilika, Liverpool itakuwa na thamani ya takribani dola bilioni 6, sawa na karibu TSh trilioni 15.6.
  • Bilionea na mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos, anakaribia kuwa mmoja wa wamiliki wa Liverpool FC, baada ya kuhusishwa na muungano wa wawekezaji unaolenga kununua takribani theluthi moja ya hisa za klabu hiyo.
  • Wamiliki wa sasa wa Liverpool, Fenway Sports Group (FSG), wamethibitisha kuwa wamepokea ombi la uwekezaji kutoka kwa muungano huo, huku mazungumzo yakiendelea.

Latest news excerpts & sources: Investment Proposal for One-Third Stake in Liverpool FC…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.