Indexed topics
FINANCE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Investment of 3.9 Billion TZS for Social Services in Liwale

Latest Tanzania finance news · Investment of 3.9 Billion TZS for Social Services in Li… explained · updated Aug 4, 2026 · economy news · GDP · investment

TLDR

  • Deus Sangu wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kilipikwe kata ya Liwale Mjini mkoa wa Lindi leo tarehe 4 Agosti, 2026 ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake Mkoani Lindi.
  • Mhandisi Munde aliwaeleza wananchi kuwa ataendelea kutekeleza Ilani ya Uchaguzi katika kuhakikisha miradi inatekelezwa ikiwemo barabara ya Nangurukuru hadi Liwale (251 km) inajengwa kwa kiwango cha changarawe na lami.
  • Waziri Sangu aliwaeleza wananchi kuhusu mafanikio ya Serikali katika kipindi cha miaka minne ambapo wilaya ya Liwale imepokea Bilioni 3.9 kwa ajili ya huduma za kijamii, Bilioni 2.9 kwa ajili ya ujenzi wa shule mbili za.
  • Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Fedha ambaye pia ni Mbunge wa Liwale Mhandisi Mshamu Ali Munde ameshukuru Serikali kwa kutoa shilingi Bilioni 48 chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye miradi ya maemdeleo.

Latest news excerpts & sources: Investment of 3.9 Billion TZS for Social Services in Li…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.