Investment in AFCON 2027 Stadium Construction in Arusha
Latest Tanzania sports news · Investment in AFCON 2027 Stadium Construction in Arusha explained · 2027 updates · updated Aug 4, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- *Ahimiza wananchi kujipanga kutumia fursa ya AFCON 2027 kujipatia kipato*Waziri wa Kilimo na Mlezi wa Kiserikali wa Mkoa wa Arusha Mhe.
- Daniel Godfrey Chongolo amesema kazi kubwa inayoendelea kufanyika katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa michezo Jijini Arusha unaotarajiwa kutumika kwenye Michuano ya Soka ya AFCON 2027 ni dhihirisho la utayari wa Mkoa wa.
- Chongolo amebainisha hayo leo Jumamosi Julai 25, 2026 wakati wa ziara yake ya Kikazi kwenye Wilaya ya Arusha, akimshukuru pia Rais Dkt.