Kongamano hilo limeandaliwa na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na limewakutanisha wadau kutoka sekta ya umma na binafsi kwa ajili ya kubadilishana uzoefu, maarifa na kujadili fursa na changamoto katika sekta ya uchukuzi na usafirishaji nchini.
Kongamano la Nne la Kimataifa la Sekta ya Uchukuzi na Usafirishaji, lililoanza jana na kutamatishwa leo jijini Dar es Salaam ambako TCAA ni moja ya washiriki.