Infantino's Challenge to Regain FIFA Members' Trust Before March Election
Latest Tanzania sports news · Infantino's Challenge to Regain FIFA Members' Trust Bef… explained · updated Aug 12, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- HADI katikati ya Julai mwaka huu, Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, alionekana kuwa na uhakika mkubwa wa kuchaguliwa tena kuongoza taasisi hiyo kwa muhula wa nne katika uchaguzi utakaofanyika.
- Wakati huo, karibu vyama vyote kati ya 210 vya soka wanachama wa FIFA FIFA vilikuwa vimempa baraka za kuwania muhula mwingine wa uongozi, huku kukiwa hakuna mpinzani aliyekuwa akionekana kuwa na uwezo wa kutikisa nafasi.