Indexed topics
ECONOMY 2 excerpts · 2 articles · 2 outlets

Increased Use of Domestic Capital for Infrastructure Development in Africa

Latest Tanzania economy news · Increased Use of Domestic Capital for Infrastructure De… explained · updated Aug 9, 2026 · economy news · GDP · investment

TLDR

  • Kauli hiyo ilitolewa wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa wa Africa50 na Jukwaa la Miundombinu la Afrika (Africa Infrastructure Forum), lililofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam, likiwakutanisha viongozi.
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Stanbic Bank Tanzania, Manzi Rwegasira (kulia), akizungumza wakati wa mkutano wa Africa50, katika mjadala wenye mada “Pace Setters: African-Designed, African-Led”.
  • Akielezea mchango wa taasisi kama Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Africa50, Rwegasira alisema taasisi hizo pekee haziwezi kugharamia mahitaji yote ya miundombinu ya Afrika.
  • Pembeni yake ni Manuel Moses, Mkurugenzi Mtendaji wa African Trade & Investment Development Insurance (ATIDI).
  • Mijadala hiyo iliakisi lengo pana la jukwaa hilo la kuendeleza mfumo wa ufadhili unaoongozwa na Waafrika kupitia **New African Financial Architecture for Development (NAFAD)**, unaolenga kuunganisha nguvu za benki za.

Latest news excerpts & sources: Increased Use of Domestic Capital for Infrastructure De…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.