Increase in Maternal Mortality Rates in Cuba
Latest Tanzania health news · Increase in Maternal Mortality Rates in Cuba explained · 2024 updates · updated Aug 4, 2026 · health news · hospitals · public health
TLDR
- Miezi sita iliyopita, yaani Januari 29, 2026, Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuzuia meli za mafuta kuingia Cuba.
- Pia, wakati Trump anaingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2017, Cuba ilikuwa na wastani wa vifo vinne katika kila watoto 1,000 wanaozaliwa.
- Kwa miaka zaidi ya 60, Cuba imekuwa ‘ikiogelea’ kwenye machungu ya vikwazo vya Marekani lakini hali imekuwa mbaya zaidi tangu Rais Trump alipoingia madarakani, kuanzia mwaka 2017, kisha muhula wake wa pili mwaka 2025.