Increase in Foreign Currency Sales by 19.3% from 2021 to 2025
Latest Tanzania finance news · Increase in Foreign Currency Sales by 19.3% from 2021 t… explained · 2025 updates · updated Aug 8, 2026 · economy news · GDP · investment
TLDR
- Ripoti ya Usimamizi wa Sekta ya Fedha mwaka 2025 inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inabainisha kuwa vituo vya kubadilisha fedha za kigeni vimefikia 65 mwaka 2025 kutoka vituo vinne vilivyokuwepo mwaka 2021.
- Mauzo hayo yalipaa kutoka Dola za Marekani 7.2 bilioni waka 2021 hadi Dola za Marekani bilioni 8.9 mwaka 2025, BoT inabainisha kuwa ongezeko hilo imechangiwa na kuongezeka kwa shughuli za utalii nchi, biashara za.
- NBS inafafanua kuwa vituo vinne vilivyokuwepo mwaka 2021, vilikuwa na matawi 40, pamoja na benki za biashara 34 vikiongezeka hadi vituo 65 vyenye matawi 182, benki 35 za kibiashara na hoteli 12 mwaka 2025.