Indexed topics
FINANCE 2 excerpts · 2 articles · 1 outlets

Increase in Euro Exchange Rate at CRDB and NMB

Latest Tanzania finance news · Increase in Euro Exchange Rate at CRDB and NMB explained · updated Aug 4, 2026 · economy news · GDP · investment

TLDR

  • Soko la fedha limebaki tulivu Agosti 4, 2026 huku Dola ya Marekani ikibaki bila mabadiliko katika Benki ya CRDB na NMB, wakati Euro na Pauni ya Uingereza zikiendelea kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania.
  • Sarafu ya nchi za Umoja wa Ulaya (Euro) imeendelea kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania, huku viwango vya ubadilishaji fedha vya leo Julai 31, 2026, vikionesha ongezeko katika benki za CRDB na NMB ikilinganishwa na.
  • Benki ya CRDB imenunua Euro kwa Sh2,879.39, kutoka Sh2,847.54 Julai 30, 2026, ikiwa ni ongezeko la Sh31.85 huku bei ya kuuza ikipanda kutoka Sh3,147.54 hadi Sh3,179.39 sawa na ongezeko la Sh31.85.
  • CRDB imeongeza kiwango cha kununua Euro kutoka Sh2,885.71 hadi Sh2,898.47, huku kiwango cha kuuza kikipanda kutoka Sh3,185.71 hadi Sh3,198.47.
  • Kwa upande wa sarafu za kikanda, Shilingi ya Kenya, viwango vya CRDB vimebaki Sh16.93 kwa kununua na Sh23.93 kwa kuuza, huku NMB nayo ikidumisha Sh17.9 kwa kununua na Sh22.5 kwa kuuza.

Latest news excerpts & sources: Increase in Euro Exchange Rate at CRDB and NMB

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.