Inauguration of Hango Garden Community Hall Project
Latest Tanzania construction news · Inauguration of Hango Garden Community Hall Project explained · updated Aug 3, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Ukiwa katika Halmashauri ya Mji wa Bunda, Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa ukumbi wa Hango Garden, umezindua mradi wa kisima cha maji safi cha Changuge, umezindua barabara ya Maduka Saba-Ikizu.