INADES-Formation's Expansion of Activities to Include Livestock Farming for Increased Income Sources
Latest Tanzania agriculture news · INADES-Formation's Expansion of Activities to Include L… explained · updated Aug 6, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- SHIRIKA lisilo la kiserikali la INADES-Formation Tanzania limesema linaendelea kutekeleza kaulimbiu ya Maonesho ya Kilimo Nanenane Kitaifa 2026 ya “Tambua Soko, Ongeza Tija, Tekeleza Dira ya Taifa 2050” kwa kuwawezesha.
- Ameeleza kuwa kwa sasa INADES-Formation Tanzania inatekeleza shughuli zake katika mikoa ya Dodoma, Singida na Iringa, ikihudumia vijiji 26 na kuwafikia zaidi ya wananchi 150,000 kupitia vikundi vya wakulima, taasisi.
- Akizungumza na waandishi wa habari katika Maonesho ya Kilimo Nanenane Kitaifa yanayoendelea jijini Dodoma, Mkurugenzi Mtendaji wa INADES-Formation Tanzania, Jacqueline Nicodemus, amesema shirika hilo limejikita katika.