Nae mnufaika mwingine Bi. Winfrida Mwera ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Uandishi na Ufasiri wa Sheria Ndogo katika OCPD, aliyepata fursa ya kusoma Postgraduate Diploma in Legislative Drafting, kwa lengo la kuimarisha uwezo wake katika kuandaa na kurekebisha miswada ya sheria, amesema mafunzo hayo yamemwongezea ujuzi katika matumizi ya mbinu na misingi mbalimbali ya uandishi wa sheria.
Meanwhile, Winfrida Mwera, Acting Assistant Director for Drafting and Translation of Subsidiary Legislation, said advanced training had improved her ability to prepare and review draft laws.