Akizungumza katika darasa hilo Afisa Lishe kutoka Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Frida Molel alisema kuwa matumizi sahihi ya mbogamboga ni muhimu katika kuupa mwili virutubisho vinavyohitajika, kuongeza kinga ya mwili na kusaidia kupunguza hatari ya kupata magonjwa.
Dkt. Chen anasisitiza juu ya umuhimu wa mpangilio sahihi (balanced diet) ili kuhakikisha kila aina ya chakula kinapatikana katika uwiano unaotakiwa.
