Impact of Iran's Closure of Hormuz on Global Oil Prices
Latest Tanzania economy news · Impact of Iran's Closure of Hormuz on Global Oil Prices explained · updated Aug 4, 2026 · economy news · GDP · investment
TLDR
- Tuko kwenye mazungumzo na Iran na nafikiri kuna uwezekano wa leo (Agosti 4, 2026, au kesho kufungua Mlango-Bahari wa Hormuz …” amesema.
- Hormuz ni njia muhimu ya maji, ikitajwa kutumika kupitisha asilimia 20 ya mafuta na gesi asilia zinazoingia kwenye soko la dunia.
- WASHINGTON DC, Marekani MAREKANI imetangaza kuwa itafikia makubaliano na Iran ndani ya siku mbili zijazo juu ya kufungua Mlango-Bahari wa Hormuz na kurejesha utulivu Mashariki ya Kati.
- Alipoulizwa kama Iran itaendelea kutoza malipo kwa meli zitakazopita Hormuz, Bessent alisema hapana, akisisitiza kuwa Mlango-Bahari huo utakuwa huru kwa yeyote kutumia.