Indexed topics
POLITICS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Hope for Peace in Gaza Following Trump's Statement on Hamas Ceasefire

Latest Tanzania politics news · Hope for Peace in Gaza Following Trump's Statement on H… explained · updated Aug 3, 2026 · politics news · government · policy

TLDR

  • Oktoba, 2025, Israel na Hamas wanaojitanabaisha kulinda masilahi ya Palestina katika Ukanda wa Gaza walikubaliana kusitisha mapigano ili kuruhusu mazungumzo na huduma za kibinadamu kuwafikia wananchi wa Gaza.
  • Hivyo, kwa wakazi wa Gaza walio wengi, si Israel wala Hamas inayopaswa kuaminika kwa asilimia 100 kwani pande zote mbili hazioneshi utayari wa kurejesha amani katika eneo hilo.
  • Tangu hapo, Israel imeripotiwa kuua Wapalestina zaidi ya 1,200, pia ikijiongezea maeneo ya kutawala katika Ukanda wa Gaza.
  • JERUSALEM, Palestina KAULI ya Rais Donald Trump kwamba kundi la Hamas limekubali kuweka silaha chini limeibua matumaini kwa wananchi wa Palestina kuanza kuishi maisha ya amani katika Ukanda wa Gaza.

Latest news excerpts & sources: Hope for Peace in Gaza Following Trump's Statement on H…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.