Indexed topics
AGRICULTURE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Government Support for TPHPA in Securing Markets for Farmers

Latest Tanzania agriculture news · Government Support for TPHPA in Securing Markets for Fa… explained · updated Aug 3, 2026 · agriculture news · farmers · crops

TLDR

  • Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imeeleza kuwa imefanikiwa kuokoa zaidi ya tani milioni 2.1 za chakula msimu uliopita na ekari zaidi ya 700,000 baada ya kudhibiti milipuko ya visumbufu vya mazao.
  • Amesema katika msimu uliopita, TPHPA ilidhibiti uvamizi wa ndege aina ya kwelea kwelea wapatao milioni 231 waliovamia skimu kubwa za mpunga, hususan maeneo ya Mbarali Mkoani Mbeya, Bariadi Mkoani Simiyu na Kilosa Mkoani.

Latest news excerpts & sources: Government Support for TPHPA in Securing Markets for Fa…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.