Akimpongeza Bw. Dib kwa kuanza mchakato wa uwekezaji nchini Tanzania, Balozi Matinyi alimuahidi kwamba serikali itampatia ushirikiano wote anaohitaji ili atimize ndoto yake ambayo itaongeza ajira na mapato kwa serikali pamoja na kuleta ujuzi zaidi na fedha za kigeni nchini.