Katika sekta ya elimu, zaidi ya Shilingi bilioni 10.5 zimetolewa kupitia Mpango wa Elimu Bila Malipo, na kupunguza vikwazo vya watoto kupata elimu bora.
mageuzi yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano kufungua “Elimu ya Bure’ hadi kidato cha nne, kisha kufika Awamu ya Sita ikafungulia hadi kidato cha sita, hali kadhalika ilifungulia kundi kubwa kuelekea shule.