Meanwhile, Germany has committed 39.8 million Euros in grant funding to the EAC to support regional integration, trade, economic development and access to finance for micro, small and medium-sized enterprises (MSMEs).
Ujerumani kupitia Shirika lake la Maendeleo (GIZ) imeahidi kutoa jumla ya Euro milioni 39.8 kwa ajili ya kuimarisha biashara ya kikanda na ushirikiano wa kiuchumi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya kukamilika kwa mazungumzo ya ushirikiano wa maendeleo kati ya pande hizo mbili.