Fursa za uwekezaji katika uvuvi wa kisasa na kilimo cha mwani
Latest Tanzania economy news · Fursa za uwekezaji katika uvuvi wa kisasa na kilimo cha… explained · updated Aug 6, 2026 · economy news · GDP · investment
TLDR
- Miongoni mwa fursa hizo ni uvuvi wa kisasa, ambapo wawekezaji wanaweza kutumia teknolojia bora kuongeza uzalishaji wa samaki na mazao mengine ya baharini, kuboresha maisha ya wavuvi na kuimarisha upatikanaji wa.
- Katika tamasha hilo lenye kaulimbiu “Kizimkazi Kumenoga: Shangwe na Fursa,” kutakuwa na mdahalo wa uchumi wa buluu utakaolenga kujadili matumizi endelevu ya rasilimali za bahari, uwekezaji na namna ya kuongeza manufaa.