Indexed topics
POLITICS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

First Major Domestic Sentence Against Assad Since 2024

Latest Tanzania politics news · First Major Domestic Sentence Against Assad Since 2024 explained · 2026 updates · updated Aug 12, 2026 · politics news · government · policy

TLDR

  • Hukumu hiyo ilitolewa Jumanne, Agosti 11, 2026, na inakuwa hukumu ya kwanza kubwa ya ndani dhidi ya Assad tangu kuondolewa kwake madarakani mwaka 2024.
  • Tangu serikali yake kuangushwa mwezi Desemba 2024, amekuwa akiishi nchini Urusi baada ya kukimbilia huko kufuatia kuanguka kwa utawala wake.
  • DAMASCUS, SYRIA: Mahakama nchini Syria imemhukumu aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, adhabu ya kifo baada ya kupatikana na hatia ya makosa mbalimbali yaliyohusishwa na ukandamizaji na vita vya wenyewe kwa.
  • Mahakama pia imemhukumu kifo Maher al-Assad, ambaye ni kaka yake Bashar, pamoja na Atef Najib, aliyekuwa mkuu wa usalama wa kisiasa katika mkoa wa Daraa na binamu wa Bashar al-Assad.
  • Kwa mujibu wa taarifa za mahakama, mashtaka dhidi ya Assad yalihusisha mauaji, mateso, kukamatwa kiholela na uhalifu dhidi ya binadamu uliofanywa wakati wa vita vya Syria.

Latest news excerpts & sources: First Major Domestic Sentence Against Assad Since 2024

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.