FIFA's Focus on Strengthening Football Development Amidst Ongoing Propaganda
Latest Tanzania sports news · FIFA's Focus on Strengthening Football Development Amid… explained · updated Aug 9, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- Wakati huo huo, FIFA imeeleza kuwa kwa sasa inajielekeza katika mikakati yake ya kuimarisha maendeleo ya soka na si kujihusisha na propaganda zinazoendelea.
- NYON, Uswis SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limelaani mpango wowote unaolenga kumng’oa kwenye kiti Rais wake, Gianni Infantino.
- Infantino anakabiliwa na shinikizo la kutakiwa kujiuzulu baada ya mpango wake wa kuuza hisa za mashindano yote ya FIFA kukataliwa.
- Katika taarifa yake, FIFA imedai kubaini njama za baadhi ya vyama na mashirikisho ya soka kuichafua Taasisi hiyo na Rais wake.