Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

FEASSA 2026 Sports Competitions in Morogoro from August 12 to 23

Latest Tanzania sports news · FEASSA 2026 Sports Competitions in Morogoro from August… explained · 2026 updates · updated Aug 11, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Wanafunzi 6,800 kutoka nchi tano za Afrika Jumuiya ya Mashariki Mashariki tayari wamewasili mkoani Morogoro kushiriki Mashindano ya Michezo ya Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari ya Jumuiya hiyo (FEASSA) 2026.
  • Kwa ujumla, FEASSA 2026 itakuwa na michezo 20 kwa shule za sekondari, sita kwa shule za msingi na minne kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum.
  • Kwa upande wa Morogoro, amesema mkoa utashiriki katika michezo 13 baada ya kufanya vizuri katika mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA yaliyofanyika mkoani Iringa Juni mwaka huu.

Latest news excerpts & sources: FEASSA 2026 Sports Competitions in Morogoro from August…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.