Farkwa Residents Anticipate Economic Opportunities from Dam Project
Latest Tanzania agriculture news · Farkwa Residents Anticipate Economic Opportunities from… explained · updated Aug 7, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Matukio tofauti tofauti katik picha,Ujenzi wa bwawa la Farkwa utatekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa gharama ya Shilingi bilioni 163.43 hadi kukamilika kwake.Na Mwandishi.
- Tayari Serikali imelipa fidia ya Shilingi bilioni 8.5 kwa wananchi wa vijiji vya Mombose na Bubutole waliopisha utekelezaji wa mradi huo.Mkazi wa Farkwa, Bi.