Indexed topics
ENERGY 3 excerpts · 3 articles · 3 outlets

EWURA Warns Traders of Legal Action for Non-Compliance with New Fuel Prices

Latest Tanzania energy news · EWURA Warns Traders of Legal Action for Non-Compliance… explained · updated Aug 5, 2026 · energy news · power · electricity

TLDR

  • Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta nchini kuanzia leo, Jumatano, Agosti 5, 2026.
  • Wafanyabiashara waonywa Mamlaka hiyo imeeleza kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2015, bei za bidhaa za mafuta zitaendelea kuamuliwa na ushindani wa soko, huku Ewura ikiendelea kutangaza bei kikomo ili kulinda.
  • Kwa mujibu wa EWURA: Bei ya petroli imepungua kwa Shilingi 92 kwa lita.
  • Mwezi wa pili wa nafuu Huu ni mwezi wa pili mfululizo kwa bei za mafuta kushuka nchini baada ya Ewura pia kupunguza bei mwezi Julai, hali inayotoa nafuu kwa watumiaji na wafanyabiashara wanaotegemea mafuta katika.

Latest news excerpts & sources: EWURA Warns Traders of Legal Action for Non-Compliance…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.