Mradi huo pia umeendelea kuwa chanzo cha fursa kwa wananchi, ambapo zaidi ya vijana 200 wamepata ajira katika kipindi cha ujenzi, huku wakipata pia ujuzi na uzoefu katika ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya michezo.
The project has also created employment opportunities for local residents, with more than 200 young people having secured jobs during the construction period.