Indexed topics
AGRICULTURE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Elimu kuhusu matumizi ya chanjo na uchunguzi wa magonjwa ya mifugo

Latest Tanzania agriculture news · Elimu kuhusu matumizi ya chanjo na uchunguzi wa magonjw… explained · updated Aug 6, 2026 · agriculture news · farmers · crops

TLDR

  • Naye Kaimu Meneja wa Kampasi ya FETA Kigoma, August Damian Shirima, amewasilisha mada kuhusu ufugaji wa samaki, uzalishaji wa funza kwa ajili ya chakula cha mifugo pamoja na fursa za mafunzo zinazopatikana katika.
  • Kassim Majiji kutoka Wakala wa Vipimo ametoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya vipimo katika biashara, huku Gabriel Ngogo kutoka TARI Tumbi akieleza kuhusu mbinu za kilimo kinachostahimili mabadiliko ya tabianchi ili.
  • Aidha, Andishile Mwakalobo kutoka TMX amewajengea washiriki uelewa kuhusu masoko ya kidijitali na matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi Ghalani katika kuwawezesha wazalishaji kupata fursa bora za masoko.Katika kuongeza uwezo.

Latest news excerpts & sources: Elimu kuhusu matumizi ya chanjo na uchunguzi wa magonjw…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.