EFTA Program Aims to Build Financial Discipline Among Farmers
Latest Tanzania agriculture news · EFTA Program Aims to Build Financial Discipline Among F… explained · updated Aug 6, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- ARUSHA; Wakulima 37 kutoka maeneo mbalimbali nchini wamepokea takribani Sh milioni 100 kama rejesho la asilimia 50 ya riba waliyolipa kupitia ufadhili wa EFTA, baada ya kurejesha kwa wakati.
- Wanufaika wa mpango huo walisema ufadhili wa EFTA umewawezesha kupata matrekta na mashine za uchakataji wa mazao, hatua iliyoongeza uzalishaji, kupunguza gharama za kilimo na kufungua fursa za ajira zaidi ya 300 katika.