Dk Kijaji's Inspection of 17 Development Projects Worth Sh 110.4 Billion in Kagera
Latest Tanzania public admin news · Dk Kijaji's Inspection of 17 Development Projects Worth… explained · updated Aug 9, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Yahaya Kidogo, amesema Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026 imetenga zaidi ya Sh bilioni 400 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani humo.
- KAGERA: Waziri wa Maliasili na Utalii na Mlezi wa Mkoa wa Kagera, Dk Ashatu Kijaji, amehitimisha ziara ya siku tano mkoani humo, ambapo ametembelea na kukagua miradi 17 ya maendeleo yenye thamani ya Sh bilioni 110.4.
- Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Kagera mara baada ya kuhitimisha ziara hiyo, Kijaji amesema watumishi wa Serikali na viongozi waliokabidhiwa dhamana ya kusimamia miradi ya maendeleo wanapaswa kuhakikisha.
- Mimi ni Mlezi wa Mkoa wa Kagera, ndiyo maana nimefika kuangalia miradi inayotekelezwa,” amesema Kijaji.