Dk Fatuma Mganga's Praise for VETA's Innovative Technologies for Farmers and Livestock Keepers
Latest Tanzania agriculture news · Dk Fatuma Mganga's Praise for VETA's Innovative Technol… explained · 2026 updates · updated Aug 4, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Dk Mganga ametoa pongezi hizo leo Agosti 4, 2026 alipotembelea banda la VETA kwenye Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Kitaifa (Nanenane), katika viwanja vya Dk John Malecela, Nzuguni jijini Dodoma .
- Niendelee kuwapongeza ndugu zetu wa VETA, naomba waendelee kushirikiana na wahitaji ambao ndiyo soko, ili tuweze kuendelea kusukuma etekeleazji wa Dira 2050 ninaamini kwa hizi teknolojia wametuonesha lengo la Dira.
- DODOMA: KATIBU Tawala wa Mkoa wa Singida, Dk Fatuma Mganga, ameipongeza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa kubuni teknolojia na bidhaa zinazolenga kuongeza tija kwa wakulima na wafugaji nchini.
- Dk Fatuma ameongeza utumiaji wa mashine rahisi kama alizoziona VETA zitasaidia kuongeza tija na faida zaidi katika uzalishaji.
- DkMganga ameiomba VETA kushirikiana na ofisi za mikoa, wilaya na halmashauri ili kuweza kukutanishwa na watumiaji wa bidhaa na ubunifu mbalimbali, kwani wapo vijana kupitia vikundi wanapatiwa pesa kwa ajili ya kuendesha.