Decrease in Pregnant Women Attending Clinics in Bunia Due to Ebola
Latest Tanzania health news · Decrease in Pregnant Women Attending Clinics in Bunia D… explained · updated Aug 4, 2026 · health news · hospitals · public health
TLDR
- Katika Kliniki ya Benedicte mjini Bunia, idadi ya wajawazito wanaohudhuria imeshuka kutoka 60 hadi 10 kwa mwezi, kwa mujibu wa Dkt.
- Lakini, idadi hiyo haihusishi vifo vya nje ya vituo vya afya, ambavyo pia vimetajwa kuongezeka kutoka asilimia 9.1 kabla ya Ebola hadi asilimia 17.4 wakati huu wa mlipuko.
- BUNIA, DRC MLIPUKO wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeathiri kwa kiasi kikubwa utaratibu wa wajawazito kwenda kliniki, kama anavyoeleza mmoja wao, Esther Lutula.
- Ndiyo maana nasubiri hadi pale ugonjwa utakapokuwa umetulia,” anasema katika mahojiano yake na Shirika la Habari la AP katika Jimbo la Ituri mjini Bunia, ambako ni kitovu cha mlipuko wa Ebola.