Indexed topics
LAW JUSTICE 2 excerpts · 2 articles · 2 outlets

Death Sentences for Bashar al-Assad and Several Former Officials in Syria

Latest Tanzania law justice news · Death Sentences for Bashar al-Assad and Several Former… explained · updated Aug 11, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Kwa mujibu wa Shirika la Habari Syria (SANA), Hukumu hiyo imetolewa leo Agosti 11, 2026 na jopo la majaji likiongozwa na Jaji Fakhr al-Din al-Aryan, akishirikiana na Mshauri wa Jamhuri na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa.
  • Hukumu hiyo ilitolewa Jumanne, Agosti 11, 2026, na inakuwa hukumu ya kwanza kubwa ya ndani dhidi ya Assad tangu kuondolewa kwake madarakani mwaka 2024.
  • Najib alihusishwa na operesheni za ukandamizaji dhidi ya waandamanaji katika Daraa mwaka 2011, eneo ambalo lilikuwa miongoni mwa vituo vya mwanzo vya maandamano yaliyokuja kuchochea vita vya Syria.
  • Mahakama ya Syria imemhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, pamoja na maofisa kadhaa wa zamani, baada ya kuwatia hatiani kwa makosa yakiwamo mauaji yaliyopangwa kimakusudi, mateso, kuzuiliwa kiholela.
  • DAMASCUS, SYRIA: Mahakama nchini Syria imemhukumu aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, adhabu ya kifo baada ya kupatikana na hatia ya makosa mbalimbali yaliyohusishwa na ukandamizaji na vita vya wenyewe kwa.

Latest news excerpts & sources: Death Sentences for Bashar al-Assad and Several Former…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.