Indexed topics
LIFESTYLE SERVICES 2 excerpts · 2 articles · 2 outlets

Cristiano Ronaldo Marries Georgina Rodríguez in Civil Ceremony

Latest Tanzania lifestyle services news · Cristiano Ronaldo Marries Georgina Rodríguez in Civil C… explained · updated Aug 12, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • They announced their engagement on 11 August last year, with Rodríguez posting a picture of a huge diamond ring, writing “Yes I do.
  • Ronaldo na Georgina walikutana mwaka 2016 mjini Madrid, Hispania, wakati Georgina alipokuwa akifanya kazi katika duka la Gucci.
  • Mwaka 2022, Ronaldo na Georgina walitangaza kwa masikitiko kifo cha mtoto wao wa kiume, Angel, aliyefariki wakati wa kujifungua, huku pacha wake Bella Esmeralda akinusurika.
  • Uhusiano wa Ronaldo na Georgina umekuwa ukifuatiliwa kwa karibu na mashabiki duniani, hasa baada ya Ronaldo kuhamia Saudi Arabia mwaka 2023 kujiunga na Al-Nassr.
  • Mwaka 2024, Ronaldo aliwahi kumtaja Georgina kama “mke wangu” alipokuwa akizungumzia mazoezi yao ya nyumbani, lakini wakati huo mwakilishi wake hakuthibitisha kama walikuwa wamefunga ndoa.

Latest news excerpts & sources: Cristiano Ronaldo Marries Georgina Rodríguez in Civil C…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.