Indexed topics
FINANCE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

CRDB inaongeza kiwango cha ununuzi wa Pauni kwa Sh7.81

Latest Tanzania finance news · CRDB inaongeza kiwango cha ununuzi wa Pauni kwa Sh7.81 explained · updated Aug 6, 2026 · economy news · GDP · investment

TLDR

  • CRDB imeongeza kiwango cha ununuzi kwa Sh7.81 hadi Sh3,412.30 na uuzaji hadi Sh3,712.30, wakati NMB imepunguza viwango vyake kwa Sh8 na sasa inanunua pauni kwa Sh3,359 na kuiuza kwa Sh3,704.
  • Benki hiyo imeongeza kiwango cha ununuzi kwa Sh9.86 hadi Sh2,904.69 kutoka Sh2,894.83, huku bei ya uuzaji ikipanda hadi Sh3,204.69 kutoka Sh3,194.83.
  • Kwa upande sarafu za kikanda, Shilingi ya Kenya (KES) imeendelea kubaki katika viwango vya jana CRDB, lakini NMB imepunguza bei yake kidogo kutoka Sh17.9 hadi Sh17.8 kwa ununuzi na kutoka Sh22.5 hadi Sh22.4 kwa uuzaji.
  • Dola ya Marekani imepungua kwa Sh10 katika Benki ya NMB, ikilinganishwa na jana, wakati Benki ya CRDB imeendelea kubakiza viwango vyake bila mabadiliko.
  • Kwa upande wa CRDB, dola imeendelea kununuliwa kwa Sh2,605 na kuuzwa kwa Sh2,685, viwango vilivyodumu kwa siku mbili mfululizo.

Latest news excerpts & sources: CRDB inaongeza kiwango cha ununuzi wa Pauni kwa Sh7.81

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.