Court Decision on Inheritance of Ivan Ssemwanga's Wealth by Zari Hassan and Their Children
Latest Tanzania law justice news · Court Decision on Inheritance of Ivan Ssemwanga's Wealt… explained · updated Aug 4, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Uamuzi huo unahitimisha mchakato wa kisheria uliodumu kwa muda mrefu kuhusu usimamizi na umiliki wa mali za Ssemwanga, ambaye alifariki dunia mwaka 2017 na kuacha urithi wa mali nyingi ikiwamo majengo ya biashara Afrika.
- MAHAKAMA ya familia jijini Kampala, Uganda, imeamua kuwa mali zote za aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini humo, marehemu Ivan Ssemwanga, zitamilikiwa na watoto wake pamoja na mama yao, Zari Hassan.