Court Decision on Additional Evidence in Lissu's Case on July 30, 2026
Latest Tanzania politics news · Court Decision on Additional Evidence in Lissu's Case o… explained · 2026 updates · updated Aug 9, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- Mahakama hiyo katika uamuzi wake ilioutoa Julai 30, 2026, ilikubaliana na hoja za Lissu na uamuzi wa Mahakama Kuu.
- Baada ya kusimama kwa zaidi ya miezi mitano, hatimaye kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, inaendelea kuunguruma tena kuanzia kesho Jumatatu, Agosti 10.