Court Acquittal of Moses Madege in Economic Sabotage Case
Latest Tanzania law justice news · Court Acquittal of Moses Madege in Economic Sabotage Ca… explained · 2025 updates · updated Aug 6, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa, imemwachia huru mfanyabiashara wa mbao wa Mafinga, Moses Madege, katika kesi ya uhujumu uchumi namba 23655 ya mwaka 2025, iliyokuwa ikimkabili kwa tuhuma za kuisababishia.
- Madege alikuwa akikabiliwa na mashtaka yaliyowasilishwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), yaliyodai kuwa kati ya mwaka 2022 na 2024 alitoa taarifa za uwongo kwenye ritani za biashara yake kupitia mfumo wa TRA.