Corteva Showcases Advanced Maize Seed Technology at Nanenane Exhibition in Arusha
Latest Tanzania agriculture news · Corteva Showcases Advanced Maize Seed Technology at Nan… explained · updated Aug 4, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Lengo ni kuwawezesha wakulima kutumia mbinu zinazowasaidia kupata mavuno mengi na yenye ubora.” Amesema kuwa,kwa maeneo ya ukanda wa chini, Corteva inatoa mbegu aina ya Pioneer P2848W, ambayo hukomaa ndani ya siku 80.
- Kwa ukanda wa kati, Corteva inatoa mbegu aina ya PAN 53 ambayo imejipatia sifa kwa kutoa mahindi matamu yanayofaa hata kwa kuchoma ambapo mbegu hiyo ina uwezo wa kuzalisha wastani wa magunia 35 hadi 40 kwa ekari na ina.
- KAMPUNI YA CORTEVA YAONESHA TEKNOLOJIA YA MBEGU BORA ZA MAHINDI KWENYE MAONESHO YA NANENANE ARUSHA.
- Fikiri ameongeza kuwa , Kampuni ya Corteva imejipanga kuhakikisha wakulima wote watakaotembelea banda lake katika Maonesho ya Nanenane wanapata huduma bora, elimu ya kitaalamu na uelewa wa kina kuhusu kilimo cha kisasa.