COPRA's Call for Registered Stakeholders in Contract Farming to Avoid Losses
Latest Tanzania agriculture news · COPRA's Call for Registered Stakeholders in Contract Fa… explained · updated Aug 4, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Rai hiyo imetolewa na Ofisa Kilimo na Mratibu wa Kilimo cha Mkataba kutoka COPRA, Rehema Msauge wakati wa kutoa elimu kwa wadau kuhusu kanuni za Kilimo cha Mkataba zilizotangazwa kwenye gazeti la Serikali Juni 30, mwaka.
- Msauge alisema COPRA huweka bei ya kuanzia ya mazao baada ya kufanya tathmini ya gharama halisi za uzalishaji na mwenendo wa soko, kwa lengo la kuhakikisha mkulima anapata kati ya asilimia 75 na 80 ya bei ya mwisho ya.