Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Controversial FIFA Forward Enterprise Investment Plan

Latest Tanzania sports news · Controversial FIFA Forward Enterprise Investment Plan explained · updated Aug 6, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Wakati huohuo, FIFA imekanusha taarifa zilizodai kuwa Infantino aliiahidi Morocco kuwa mwenyeji wa fainali ya Kombe la Dunia 2030 ili kupata uungwaji mkono wa mpango huo.
  • Infantino pamoja na Katibu Mkuu wa FIFA, Mattias Grafström, walituma barua ya kuomba radhi kwa makamu wa marais wa FIFA, Baraza la FIFA na vyama wanachama 211, wakiahidi kuwa makosa kama hayo hayatatokea tena.
  • Mpango uliokuwa ukipingwa ulikuwa wa kuanzisha kampuni mpya ijulikanayo kama FIFA Forward Enterprise (FFE), ambayo ingeruhusu uwekezaji wa sekta binafsi katika mashindano makubwa ya FIFA, ikiwemo Kombe la Dunia la.
  • Rais wa FIFA, Gianni Infantino, ameomba radhi kufuatia makosa yaliyotokea katika mchakato wa kuwasilisha mpango wa kuruhusu wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye baadhi ya mashindano ya shirikisho hilo.
  • Hata hivyo, ameendelea kupata uungwaji mkono wa viongozi wa juu wa FIFA na ataendelea kushika wadhifa wake.

Latest news excerpts & sources: Controversial FIFA Forward Enterprise Investment Plan

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.