Contribution of Fishing Sector to National Economy Targeting 9.8% by 2050
Latest Tanzania economy news · Contribution of Fishing Sector to National Economy Targ… explained · updated Aug 3, 2026 · economy news · GDP · investment
TLDR
- Katika hatua nyingine Waziri Sangu amesema ujenzi wa bandari ya Kilwa ni utekelezaji wa Dira 2050 ambayo inaelekeza sekta binafsi kuchangia ukuaji wa uchumi ambapo serikali inakusudia kuzalisha ajira zaidi ya milioni.
- Vile vile, ameongeza kuwa sekta ndogo ya uvuvi kwa sasa inachangia asilimia 2.2 ya pato la taifa ambapo lengo la Dira ya 2050 ni kufikia asilimia 9.8 .