Concerns Over Terrorism Allegations Affecting Tanzania's International Relations
Latest Tanzania politics news · Concerns Over Terrorism Allegations Affecting Tanzania'… explained · updated Aug 4, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), Deogratias Mahinyila, ametoa wito kwa Watanzania na wadau mbalimbali kushirikiana kuhakikisha matumizi ya tuhuma za ugaidi dhidi ya wananchi yanakomeshwa, akidai kuwa.
- Akizungumza leo katika ofisi za zamani za CHADEMA zilizopo Ufipa, Dar es Salaam, Mahinyila amesema utaratibu wa kuwasingizia na kuwabambikia wananchi kesi za ugaidi hauna haki na unaweza kuharibu taswira ya Tanzania.