Concerns Over Rising Food Prices and Unemployment in Zambia
Latest Tanzania economy news · Concerns Over Rising Food Prices and Unemployment in Za… explained · updated Aug 11, 2026 · economy news · GDP · investment
TLDR
- LUSAKA, Zambia UCHAGUZI Mkuu nchini Zambia utafanyika Alhamisi ya wiki hii, yaani Agosti 13, 2026, na macho ya wengi yameeelekezwa katika kinyang’anyiro cha urais.
- Mundubile (65), anajivunia uungwaji mkono kutoka ndani ya Chama cha Lungu, Patriotic Front, ambacho kina nguvu kubwa maeneo ya Kaskazini na Mashariki mwa Zambia.