Indexed topics
CONSTRUCTION 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Completion Status of Kyakailabwa Bus Stand Project at 10% with January 2027 Deadline

Latest Tanzania construction news · Completion Status of Kyakailabwa Bus Stand Project at 1… explained · 2027 updates · updated Aug 4, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Aidha, amesema mkandarasi amelipwa asilimia 22.2 ya fedha za mkataba na kwa sasa hakuna changamoto yoyote inayokwamisha utekelezaji wa mradi huo, ambao unatarajiwa kukamilika Januari 2027.
  • Katika ziara hiyo, Waziri amekagua miradi mitatu yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 23.8, ikiwemo ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya Kyakailabwa, Soko Kuu la Bukoba pamoja na ofisi mpya za Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba.
  • Akitoa taarifa ya utekelezaji wa miradi hiyo, Mhandisi wa mradi huo, Mnyara Mwambungu, amesema ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya Kyakailabwa umefikia asilimia 10 ya utekelezaji.

Latest news excerpts & sources: Completion Status of Kyakailabwa Bus Stand Project at 1…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.