Completion Deadline for Mikocheni Apartments Set for October 2026
Latest Tanzania construction news · Completion Deadline for Mikocheni Apartments Set for Oc… explained · 2026 updates · updated Aug 7, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Qwaray ametoa maelekezo hayo leo, Agosti 7, 2026, alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam, unaosimamiwa na kumilikiwa na Watumishi Housing Investments (WHI).
- Mkandarasi anatakiwa kukamilisha ujenzi wa nyumba hizi ifikapo mwisho wa Oktoba 2026 ili wanunuzi waanze kunufaika kwa kuhamia na kuanza kuishi,” alisema Solomon.
- Regina Qwaray, amemtaka mkandarasi wa mradi wa Mikocheni Apartments kuongeza kasi ya ujenzi ili kuhakikisha mradi huo unakamilika ifikapo Oktoba mwaka huu.
- Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investments (WHI), Sephania Solomon, amesema taasisi hiyo inatekeleza mradi wa nyumba 101 katika eneo la Mikocheni, jijini Dar es Salaam, ambapo kwa sasa ujenzi.