Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Coaching Changes Impacting Paul Pogba's Position at AS Monaco

Latest Tanzania sports news · Coaching Changes Impacting Paul Pogba's Position at AS… explained · updated Aug 12, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • MONACO, Ufaransa — Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa na mshindi wa Kombe la Dunia 2018, Paul Pogba, yuko mbioni kusitisha mkataba wake na klabu ya AS Monaco mapema kuliko ilivyotarajiwa.
  • Kutoka Miaka 4 Mpaka Miezi 18 Ikumbukwe kuwa Pogba awali alitakiwa kutumikia adhabu ya kufungiwa soka kwa miaka minne mwaka 2023.
  • Pogba (32), alijiunga na Monaco msimu uliopita kwa mkataba wa miaka miwili mara baada ya kurejea uwanjani kufuatia kifungo cha miezi 18 kutokana na matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku michezoni.

Latest news excerpts & sources: Coaching Changes Impacting Paul Pogba's Position at AS…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.