Chipukizi FC Introduces 6 New Players for Zanzibar Premier League 2026/2027
Latest Tanzania sports news · Chipukizi FC Introduces 6 New Players for Zanzibar Prem… explained · 2027 updates · updated Aug 9, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- Zikisalia takribani siku 20 kabla ya kuwashwa kwa moto wa Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2026-2027, klabu ya Chipukizi FC imeendelea kuonyesha nia ya dhati ya kupambania ubingwa msimu huu baada ya kufanya maboresho makubwa.
- Wachezaji 6 Wapya Watambulishwa Ili kuimarisha kikosi hicho, Chipukizi imekamilisha usajili wa nyota sita wapya tayari kwa vita ya msimu mpya: Dady Hiluka – Aliyekuwa mchezaji wa Mtibwa Sugar iliyoshiriki Ligi Kuu Bara.