Nao vijana wa Xabi Alonso, Chelsea watapepetana vikali dhidi ya Juventus kutoka kule Italia moja ya mchezo mzuri wa kutazama kwani The Blues wamefanya usajili mzuri wa wachezaji wenye uwezo hivyo kocha anataka kujua wapi nafaa wapi.
Chelsea chini ya kocha mpya Xabi Alonso, watapepetana vikali dhidi ya Juventus kutoka kule Italia moja ya mchezo mzuri wa kutazama kwani The Blues wamefanya usajili mzuri wa wachezaji wenye uwezo hivyo kocha anataka kujua wapi nafaa wapi.