Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Change in Transfer Terms for Selemani Mwalimu from Wydad Casablanca

Latest Tanzania sports news · Change in Transfer Terms for Selemani Mwalimu from Wyda… explained · updated Aug 12, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Baada ya Selemani kuwasili nchini na kuingia kambini Simba, tulipokea taarifa mpya kutoka Wydad kwamba wanahitaji kiasi cha Shilingi bilioni 1 ili kutoa mchezaji huyo kwa mkopo wa msimu mmoja pekee.
  • Gharama za Dili Kubadilika Ghafla Magori amefichua kuwa Selemani Mwalimu alikuwa ameshawasili nchini na kuingia moja kwa moja kambini kwa Simba, lakini baadaye uongozi wa Wydad ulileta sharti jipya la kifedha.
  • UONGOZI wa Simba SC kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Crescentius Magori, umeweka wazi sababu zilizowafanya wajitoe kwenye mbio za kumsajili mshambuliaji Selemani Mwalimu, ambaye hatimaye ametambulishwa kama.
  • Akitolea ufafanuzi sakata hilo, Magori ameeleza kuwa mabadiliko ya ghafla ya gharama za usajili kutoka kwa klabu inayomiliki mchezaji huyo, Wydad Casablanca ya Morocco, ndiyo yaliyovuruga makubaliano ya awali kati ya.

Latest news excerpts & sources: Change in Transfer Terms for Selemani Mwalimu from Wyda…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.