Indexed topics
POLITICS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Chadema's Stance on Unity and Official Guidance

Latest Tanzania politics news · Chadema's Stance on Unity and Official Guidance explained · updated Aug 3, 2026 · politics news · government · policy

TLDR

  • Julai 30, 2026, Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na viongozi wa vyama 18 vya siasa vyenye usajili wa kudumu, huku CHADEMA ikiwa chama pekee ambacho hakikushiriki mkutano huo.
  • Na mwandishi wetu, Gazetini KATIBu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema, John Mnyika, amesema chama hicho pamoja na Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, hadi sasa hawajafanya mazungumzo yoyote na Serikali.
  • Kwa mujibu wa Mnyika, uongozi wa Chadema ulimtafuta Tundu Lissu ili kupata ufafanuzi kuhusu suala hilo, ambapo Lissu alieleza kuwa tangu mazungumzo yake na Rais Mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera, hajafanya mazungumzo.
  • Mnyika alisema kutokana na hali hiyo, Chadema inaendelea kushikilia msimamo wake na kuwataka viongozi pamoja na wanachama wa chama hicho kuendelea kuwa na umoja na kusubiri maelekezo rasmi ya uongozi.

Latest news excerpts & sources: Chadema's Stance on Unity and Official Guidance

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.